Hadithi Yetu
Tunajua unachokula.
Ngano Mchele Mahindi
Hakuna maajabu hapa. Ngano, mchele na mahindi — vinasindikwa mara tatu
mpaka kila kipande kinapasuka mdomoni. Hiyo ndiyo crunch ambayo huwezi kuiga.
Zingine zinajificha nyuma ya maneno marefu usiyoyaelewa. Sisi tunaandika
kila kitu kwenye pakiti. Soma mwenyewe — halafu tuambie nani ana wasiwasi.
Ngano
Crunch ya dhahabu
Mchele
Wepesi na kavu
Mahindi
Mchanganyiko kamili
Spice
Moto wa mtaani
Nyanya
Chachu ya kweli
100% Vegetarian
Hakuna kitu cha mnyama. Imeandikwa kwenye kila pakiti, si maneno ya matangazo.
Hakuna MSG · Hakuna Rangi Bandia
Ladha inatoka kwenye viungo, siyo kwenye maabara.
Halal · Imethibitishwa TBS
Vyeti kamili. Unaweza kuuza popote bila wasiwasi.
Ngano + Mchele + Mahindi
Nafaka tatu, mchakato wa tabaka tatu. Ndiyo maana crunch inadumu.